Recent content by sir imma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mkopo(heslb) kwa form six private candidate

    Usiwe na wasiwasi wakianza omba utapata kabisa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kipumbavu sekondari ya sangu.

    Kwa mara ya kwanza nilipokuwa nimefika Mbeya na kuwaona wanafunzi wamevalia malinda kibao kwenye kiuno nilishanga kumbe ni wanafunzi wa Sangu.Lakini sikuyafurahia mavazi hayo.Watoto wanaoneka kama wanaenda kwenye maonesho ya ngoma za asili.
  3. S

    JamiiForums Tanzania mkwawa bado haifai kuitwa chuo

    Hayo matatizo yapo kote.Hata chuo nachosoma lecture tunagobania kukaa mbele au karibu na sipika watu tunajaa sana.Kama huwezi vumili rudi kwenu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wana teku tujuane basi

    Nitafute Baed
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jamani wana teofilo kisanji university

    Any time mpunga unajaa kwenye account
  6. S

    JamiiForums Tanzania TEKU mambo yameiva!!!

  7. S

    JamiiForums Tanzania TEKU mambo yameiva!!!

    Nimesaini jana mpunga wangu sijui lini watautupia kene account angu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwenge University

    Huyu jamaa mara anasema kachaguliwa Mkwawa mara Mwenge sijui wa wapi??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nyangwine umechangia sana kuharibu elimu yetu.

    Huyu jamaa ni mzur wa kiswahili akiwa na Masebo.Masomo mengine hawezi.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hoja yangu kwa HESLB

    Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipatia bahati ya kupata Mkopo toka HESLB.Ila naungana na ndugu zangu walokosa.Wagegawa 50% kwa wote wenye sifa za kupata mikopo.Isipokuwa Madaktari wangepata 70% ili tugawane wote na zingne tuchagie wenyewe.MTAZAMO TU.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Na mm wamenipa asante Mungu.Kama hujajiona kuwa mpole network itakaa poa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania This is too much muda umefika kusema no kwa jkt

    Haendi mtu jkt.safari ya chuo soon naianza
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mama salma kikwete vyuoni

    Watu kama nyie elimu haijawakomboa kabisa.
Back
Top Bottom