Recent content by Sir himself

  1. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa

    Habari, hii mashine Bado IPO? Naweza ipata?? Kama ndio weka namba yako
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kukamua juisi ya miwa, nipo Dar es Salaam

    Habari wa JF, Kama Kuna mtu yeyote anafahamu sehemu mashine hizi zinauzwa naomba anijuze, au kama Kuna mtu anauza pia tuwasiliane. 0657380484
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

    Vp Bado unayo hiyo mashine
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta frame ya biashara ya uwakala, Dar es Salaam maeneo ya Kawe, Buguruni, Karume

    70k kushuka chini, Mbangala ipo ya bei Gani na IPO center,? Km changanyikeni sana budget nitaongeza pia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta frame ya biashara ya uwakala, Dar es Salaam maeneo ya Kawe, Buguruni, Karume

    Habari, Wana jf Mwenye anajua wapi frame inapatikana anijulishe. 0657380484
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uuzaji na usambazaji wa Bomba za maji (coil)

    Habari wakuu, Kampuni ya kutengeneza na kukusambazia Bomba za maji kwa Bei nafuu ya kiwandani kabisa Kila aina ya Bomba kuanzia class A, B, C, inch 1A, 1B, 1C, inch 1.5B & 1.5C. inch 2B, 2C. Pia Kila aina inatengeneza kulingana na order ya mteja. Karibuni sana wateja tufanye biashara. Pia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wana JF, Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 24, Naitwa Isack Mussa. Ni muhitimu wa chuo kikuu (UDSM) course BCOMM HRM. Nimehitimu 2021 mpaka sasa sijafanikiwa kupata ajira. Nipo hapa kama familia kuomba msaada wa yeyote atakae weza fanikisha Mimi kupata ajira au kazi ya kuniingizia...
Back
Top Bottom