Habarini wana jamvi, kama inavyojieleza hapo juu naomba kuelimishwa kwanini hiyo nchi tajwa haina katiba iliyo andikwa?
Pia naomba kujua inaendeshwaje bila ya katiba hiyo na vipi inatatua matatizo yake ya kisheria.
Naombeni msaada, kama inavyojieleza hapo juu ni miezi kadhaa hilo tatizo limekua likijirudia rudia. Napata maumivu makali sehem ya korodani ambapo inapelekea muda mwingine kukojoa damu na nmeshaenda hospital tena za hali ya juu na kuambiwa sina ugonjwa wowote zaid ya kupewa dawa za UTI na za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.