Recent content by sipendi uongo

  1. S

    Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

    Jaman, mnamhukumu huyu mama bure, kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake kwa jinsi anavyolichukulia jambo, katika hali ya kawaida ni dhahiri kumuonea huruma Lulu kwa jambo lililomfika maana hakuua kwa kukusudia, na katika hali ya kawaida ukiwa unapigwa na mtu anaekuzidi nguvu na tena amekunywa...
  2. S

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Oooh this is very SAD...kwakweli kifo cha huyu msanii kimeniuma sanaa..Mungu ailaze mahali pema peponi. Amen
Back
Top Bottom