Recent content by Sioyi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Siku kuu njema

    Ninawatakia wote sikukuu njema ya Amani na utulivu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwanasiasa kijana mtaka Urais aanzisha gazeti lake!

    Kiti cha rais Kimoja. Wanaokiwania naona Kilauea uchao wanaongezeka. Nahisi muda utawamua.
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

    Mmm, sherehe zingine haziwezekani mpaka bunduki?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwana CHADEMA apata ajali mbaya muda huu - Arusha

    Nawaomba Vijana kuwa makini hasa wakati huu aw siku kuu. Taifa linawahitaji. Pole na Mungu akujalie upone haraka.
Back
Top Bottom