Recent content by Sinkapink

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuboreshwe uwajibikaji wa kitaasisi katika kupambana na rushwa

    Kitu konki sana hii,
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tutumikiane kwa unyenyekevu

    Nchi haiwezi kuendelea ikiwa tumejawa na ubinafsi. Hoja zako nimeziona na zina mashiko sàna
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwepo na sera ya elimu nchini Tanzania yenye kuboresha na kutekelezeka kwenye vituo vinavyotoa elimu katika mfumo usio rasmi(tuition centers)

    Mungu awajalie nguvu walimu wa tuition, nao wanafanya kazi nzuri sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tudumishe Kiswahili kwa maendeleo endelevu na nyenzo ya kudai haki

    Kwa sasa Kuna Kila sababu ya kuitumia kiswahili Kwa nyanja zote. Kimekuwa na kina mashimo ndani na nje ya nchi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    Suala la ajali Barabarani linapoteza sana nguvu kazi ya Taifa. Sijui Kwa nn serikali inawafumbia macho baadhi ya traffic wanaohusika Kwa kutotimiza wajibu wao. Inabidi jamii ielimishwe kupunguza ajali hizi
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jicho la Wataalamu wa Elimu katika Mtaala wa Elimu

    Yani mtaala WETU haumfanyi mwanafunzi kujitegemea,pia una mambo mengi ambayo hayana uhalisia Kwa kweli
Back
Top Bottom