Recent content by Sinkala

  1. Sinkala

    Privaldinho amjibu Oruma

    Kwa hiyo unaungana na Oruma kusema kwamba Mamelodi ni timu hatari sana, na unapingana na Privadinho anayesema hivyo ni vitisho tu?
  2. Sinkala

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Sasa hivi unatakiwa uwe unaangalia mechi za Mamelodi
  3. Sinkala

    Tuweke ushabiki pembeni, Simba sc wanakibarua kizito mbele ya Asec Mimosa

    Hakuna uhakika, ila tutawatumia watakaowapokea Avic Kigamboni wawawekee kale ka mchuzi kwenye msosi wao
  4. Sinkala

    Tuweke ushabiki pembeni, Simba sc wanakibarua kizito mbele ya Asec Mimosa

    Njoo na utetezi mpya maana kuendelea kujificha eti Kwa kuwa ulikosea unajimu wako ni kujikosesha uhuru jukwaani
  5. Sinkala

    Tuweke ushabiki pembeni, Simba sc wanakibarua kizito mbele ya Asec Mimosa

    Sawa, ni mfupa uliomshinda fisi. Endelea na uchambuzi
  6. Sinkala

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Lakini si ameokolewa na mitume na manabii walioendesha ibada?
  7. Sinkala

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Wewe binafsi upo dhehebu gani? Nataka nipate uzoefu kuhusu mambo ya mazishi katika dhehebu lako, maana walau Wakatoliki wapo wazi
  8. Sinkala

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    TEC hawawezi kujishughulisha na ishu ndogo hivyo, acha kuishusha hadhi. Hilo ni suala la Paroko tu, inawezekana hata sio waraka, sakramenti za Ole Mushi hazizungumziwi hapa. Inawezekana alikuwa anaishi na mwanamke bila ndoa
  9. Sinkala

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Wewe sio RC na hujui chochote kuhusu taratibu za Kanisa. Ibada yoyote iliyopewa idhini na Paroko ni ibada halali hata kama itaendeshwa na Katekista. Ibada yoyote iliyozuiwa na Paroko haiwezi kuendeshwa na mtu yeyote ndani ya Parokia, awe Katekista, Padri wa nje ya Parokia, Askofu na hata Papa...
  10. Sinkala

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Wapo wengi waliounga mkono uuzwaji wa bandari na ni Wakatoliki, lakini walitoa hoja zao bila kufanya rejea kwa Waraka wa TEC, hiyo Haina shida. Unapoamua kufanya Waraka wa TEC kama reference ya kupingana nao, maana yake unapingana na Waraka wa kichungaji, wakati ungeweza tu kuuunga mkono bila...
  11. Sinkala

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kanisa Katoliki huwa halibembelezi maana haifanyi biashara. Kama Kingunge Ngombale Mwiru na Ruge Mutahaba walikataliwa ibada, sembuse wewe? Kanisa RC litakufundisha kwa nguvu zote uelewe imani, ila ukijitenga linakuacha maana ni uamuzi wako. Usifikiri RC huwa wanaingia hofu kusikia sijui...
  12. Sinkala

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kwani kutoendesha ibada ya mazishi ndio kuhukumu? Kuna kitu hamuelewi hapa. Kanisa Katoliki hutoa huduma za kiroho kwa Wakatoliki tu. Kwa mujibu wa taratibu za kiroho, Ole Mushi hakuwa Mkatoliki
Back
Top Bottom