Recent content by sindano butu

  1. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli tukianza kuulizana asili ya mtu popote tumuonapo mtu Tanzania ni kuwa tunamuuasi mwenyezi mungu ?

    Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu. Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
  2. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati: Mashujaa au Wachochezi wa Chuki?

    Tutajie mkuu latest shujaa Tanzania unayemkubali. Lakini kubali tuh wanatuletea mambo ya hatari sana
  3. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati: Mashujaa au Wachochezi wa Chuki?

    Siko kupinga waanarakati ila niko kupinga chuki wanayojenga wakipigania mitazamo wanayoona iko sawa. Chuki huleta ukabila, udini, urangi, mauaji, uonevu na wizi. Yule mdada wa afrika kusini ni shetani maana ameshasabibisha afrika kusini kuwa nchi ya ukabila . Tukienda kule israel chuki dhidi...
  4. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati: Mashujaa au Wachochezi wa Chuki?

    -uarakati wa kujenga chuki unaleta ukabira, urangi, ugaidi, mauaji , uvamizi, kutokufuatwa sheria. Chuki ni adui dhidi ya haki na pia adui wa jinsi maandiko takatifu yanavyotuongoza. -Na ukichunguza yakitokea machafuko sehemu yeyote duniani maskini wa hali ya chini ndo anayeumia sana kuliko wote
  5. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati: Mashujaa au Wachochezi wa Chuki?

    Kokote duniani wanaharaki wamekuwa chanzo kutetea haki za watu na tuwape maua wanawatetea wanyonge lakini wakati mwingine imeleta madhara makubwa sana. Wanaharakati duniani wameleta mabadiriko makubwa sana duniani kutetea haki za watu hata ikibidi wao kupoteza maisha na hili nawapa pongezi...
  6. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Kwa kila mtanzania anayehisi haki hajapata. Mtoa haki wa milele ni mwenyezi Mungu na wala sio ICC na sio mahakama

    -Ewe mtanzania kwa yeyote aliyefanyiwa dhuluma kwenye siasa, uchumi,ndoa, shuleni asivunjike moyo . Haki ya kweli hutoa mwenyezi Mungu mwenye rehema. Tusivunjike moyo, tusiwe na huzuni kwa kuishi duniani kuona kucheleweshewa haki. Mwenyezi mungu Rehema ameelezea kwenye kitabu takatifu quran...
  7. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya utoaji zawadi mtumishi bora ikileta picha ya ubaguzi

    Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa. Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
  8. sindano butu

    JamiiForums Tanzania kila kona manyanyaso, hata haki ya watumishi kupata nyongeza ya mwaka ishakuwa manyanyaso.

    Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao. 2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
  9. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Tuliza akili vizuri mimi simtetei muharabu wala mzungu. Naelezea jinsi vita ya dunia itakavyo anza. Sasa wewe udini umetolea. Halafu Acha matusi tutakutumia wasiojulikana wakuba----
  10. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    kichwa kitakuwa kimelaaniwa kukubali kuona maovu yanayoendelea duniani
  11. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Siku vita ya dunia ikianza utaelewa nilichokuwa naelezea. Issue hakuna anaye jali maisha ,kila mtu na itikadi zake
  12. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    kichaa wewe na Nyetanyahau wako. Muache visasi mnaharibu amani ya dunia. vita ya africa usifananishe na vita yawapalestine. kumbuka kule israel anatumia AI weapons kulipua watu kwenye anga. kwa nini wasitume wanajeshi wapambane uso kwa uso. Wanatuma sana mabomu matokeo yake wapalestine zaidi...
  13. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Mauaji ya africa usifananishe na wapalestine. Mimi sipo kuwatetea waarabu au waisrael . Mimi nazungumzia utu duniani imepotea. kuna siku mabomu ya nyuklia yatatumika kuoneshana nguvu. Hoja yangu kwa nini dunia tusiishi kwa kupendana na kuasha visasi. Angalia familia zina ishi kwa shida kupoteza...
  14. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiendelea hivi kuna hatari vita ya dunia ya 3 kutokea.

    Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona dunia itakavyolaani. Mwenendo wa dunia ishafikia wakati kila mtu anajiamulia kufanya jambo ili...
Back
Top Bottom