Ukweli ni kuwa Chadema hawana nguvu kubwa katika Wilaya ya Tanga, CUF wao wako vizuri kiasi, Maana wana Madiwani 9 na wanauzoefu wa kupambana na CCM hapo Tanga. Chadema kupitia hao kina Kassim Ammar na Kidege waliweza kupata kura nyingi za Ubunge mwaka 2010, labda tuone hiyo safu yao mpya...
Hivi Ofisi yenu ya Wilaya ya Tanga bado iko pale kwa yule 'dila' wa zamani Aziz 'Nose' Lali Mahadhy? Nadhani Vyama vya Upinzani vina wajibu wa kujiangalia kwenye haya mambo ya kuchukua tu kila mtu kuwa mwanachama au Kiongozi wake.
Kwa Wilaya ya Tanga nadhani Chadema wana Mwenyekiti wa Mtaa huyo...
Mkuu Mkandara
Hata Mimi si mkubwa kiumri, wakati ule mkishusha nondo humu na kina Kyoma Mimi ndo kwanza nilikuwa naingia chuo Kikuu, tofauti na hawa vijana wa sasa Hata sikuona haja ya kuwa na Akaunti humu Bali nlikuwa mwanafunzi wenu mzuri Sana.
Vijana wa sasa hawataki kujifunza, maana...
Acha uongo wewe, juzi tu alipewa nishani ya Miaka 50 ya Muungano.
Huyu Lissu naye kapotosha mno kiasi msiojua Kama nyinyi nanyi mwapayuka.
Andika Google "Sikumsaliti JUMBE - Maalim Seif" ili ujifunze kidogo.
Yaonekana wengine ni wadogo Sana kiumri ama huwa hamfuatilii mambo ya kisiasa nchini.
Mzee Aboud Jumbe hajawahi kuzuiwa kuongea na Wanahabari, Bali amejiweka mwenyewe nje ya siasa, muda mwingi anajikita katika mambo ya dini Kama ilivyokuwa kwa swahiba wake Bashiru Kwaw Swanzy.
Ametoa...
Kwa nini unatutaka tutabiri Mkuu juu ya mambo ambayo hayajatokea?, Hebu washauri hao Viongozi waitishe hicho Kikao cha Baraza Kuu alafu hayo maamuzi ya Kamati Kuu yapitishwe baada ya kusikilizwa kwa hoja za Zitto Kabwe, kuna ugumu pia katika kufanya hilo?
Unayotupa sasa ni kazi ya Marehemu...
Mtanzania
Mkuu umenigusa sana kwa hiyo bayana yako, hasa kwenye huo 'Uafrika' wa mbinyo kwa kila anaonekana kuwa kizuizi au tishio kwa viongozi wetu, hili ni tatizo kubwa sana.
tukijikita kwenye Mada ya Mkuu Mwanakijiji lazima tukubali kuwa ishu hapa ishageuka, sio suala la kutaka Uongozi kwa...
Sasa huo Uhalali wa Kumtaka Zitto ajitoe mwenyewe na wewe unaupata wapi?, Kuna Thread ina majibu ya Zitto kwa Katibu Mkuu ambayo kwa kirefu ameeleza hilo la namna taratibu zilivyokiukwa. Sasa Mkuu unanishangaza sana unapoliangalia hili suala kwa Mtazamo wa 'Zitto atakuwaje Chadema kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.