Recent content by sina makosa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Salama ya CDM, Mbowe, Slaa na Zitto wote wapumzike

    Calm down kijana, panic sio suruhisho ya tatizo ,fikiria vizuri utapata matokeo mazuri pia.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Salama ya CDM, Mbowe, Slaa na Zitto wote wapumzike

    Suala sio zito pekee hata uongozi wa Chama una mapungufu mengi tu,ambayo ni lazima yakewe
  3. S

    JamiiForums Tanzania Salama ya CDM, Mbowe, Slaa na Zitto wote wapumzike

    Kwa mwenye akili atachukua Mawazo haya na kuyaganyia kazi,ila kwa mwenye akili ndogo atakurupuka na kutukana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Salama ya CDM, Mbowe, Slaa na Zitto wote wapumzike

    Hapa napata picha ya mtazamo wako,nimekuelewa vyema
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Neno WASOMI,linapumbaza fikra za watanzania,kutokana na matumizi Yake....sikulaumu kwa kuwa huo ni mtazamo wako,lakini ni wakati muafaka kwako sasa uondoe UDHALILI ulionao juu ya WASOMI ,ukifanya hivyo utakuja na matokeo mengine mazuri zaidi katika utafiti wako Kama una nia ya dhati ya kujenga...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Mawazo ni Zaidi ya Sugu,Harakati za Lema na Mawazo ni za styre moja ,pia Lema atabanwa na Majukumu ya Vikao vya Bunge ila huyu Jamaa sidhani Kama Ana Majukumu kwa sasa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Lema abaki na Ubunge ,
  8. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Ukiangalia kwa sasa bila upendeleo wowote ,ili Chama kifike kinapopataka,hazina za watu Kama Mawazo ni Muda muafaka sasa zianze kutumika Ipasavyo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Jamaa kiukweli kazi anapiga,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    CDM,maamuzi mliyoyafanya si magumu,ni mepesi na ya kawaida katika dhama hizi za utawala wa ki democrasia hasa kuelekea katika kile mnachokiita harakati za Ukombozi,ni lazima viongozi wa Chama wawe makini katika utendaji ili kujenga uaminifu kwa jamii ya watanzania hata kufikia kikabidhiwa nchi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa CHADEMA Mikoani - CHADEMA yajikaza kisabuni

    Upo sawa kwa upande wako ,wapo poa wasiomkubali ukae ukijua Hilo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa CHADEMA Mikoani - CHADEMA yajikaza kisabuni

    Hayo ni Mawazo yako ,wapo wanaomkubali kutokana na sababu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko mkubwa CHADEMA Mikoani - CHADEMA yajikaza kisabuni

    Ni yeye ameyasema hayo AMA yeye amewasilisha kilichosemwa,AMA kinachosemwa?,,think twice Kabla hujakurupuka kulaumu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Subiri upande wa pili ,na baada ya siku 14 ndipo usenet ni maamuzi sahihi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Je maamuzi Kama haya yataendelea?
Back
Top Bottom