Recent content by sina bega

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya usiku

    vodacom customer service unaingia saa 4 usiku unatoka saa 11 asubuh.. nenda erolink ukaombe..
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikalini na private, kupi kuzuri kufanya kazi?

    apana.. ata wewe ukipata job hutaacha ku apply.. human needs are unlimited
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikalini na private, kupi kuzuri kufanya kazi?

    ni wamenipanga wizarani boss..
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikalini na private, kupi kuzuri kufanya kazi?

    nnafamya job bank wanalipa 600,000/= basic na allowance 260,000/= job tunaenda siku 6 kwa week kuingia saa 1:30 kutoka saa 12 jioni.. contractual job... leo nimepata job govment wanalipa tgs d 625,000/= bila allowance. kazi cku 5 kwa wiki kutoka ni saa 9:30. ni permanent and pensionable after...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    gvment wanaenjoy freetime kubwa kuliko private.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya utumishi wa mahakama

    nimeyaona.. tuma jna yako full nkuchekshie
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya utumishi wa mahakama

    wametangaza job nini?
Back
Top Bottom