Recent content by Simulizi za Kasuku

  1. Simulizi za Kasuku

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Rehema wa njia panda kitabu cha kwanza

    HADITHI 2 THS.3000/= KUNDI LA HADITHI
  2. Simulizi za Kasuku

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Rehema wa njia panda kitabu cha kwanza

    SOMA KITABU CHA KWANZA CHA HADITHI YA REHEMA WA NJIA PANDA
  3. Simulizi za Kasuku

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Rehema wa njia panda kitabu cha kwanza

    REHEMA WA NJIA PANDA IV Kwa upande wa Anord baada ya kuithibitishwa kuwa hakukuwa na tiba yoyote ya kumaliza tatizo lake ambalo kila mtu alimwona ni kichaa ikashauriwa arejeshwe nyumbani ambako tofauti na ilivyotegemewa mchumba wake aliyemwahidi kumwoa hakutaka kujitenga naye zaidi alimhudumia...
  4. Simulizi za Kasuku

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Rehema wa njia panda kitabu cha kwanza

    ukiona hivyo ujue ni shabiki wa timu ile mbaya teh teh teh .... naiweka siyo muda
  5. Simulizi za Kasuku

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Rehema wa njia panda kitabu cha kwanza

    REHEMA WA NJIA PANDA III "Siki kafariki usiku asubuhi nimemkuta amekufa"Aliongea yule mama akigeuza kurudi nyumbani kwake akiongozana na yule daktari mpenzi wake wa zamani ambaye aliamua kuachana naye baada ya kuwa na marehemu mwanaye ambaye daktari hakujua kama ni bintiye kwani walianzisha...
  6. Simulizi za Kasuku

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Rehema wa njia panda kitabu cha kwanza

    REHEMA WA NJIA PANDA II ''Asante Mungu ameamka! Kisebengo na mwenzake walijikuta wakiongea kwa sauti ya juu iliyowashtua hata wagonjwa wenzake. ''Kweli Mungu mkubwa hakuwa wakupona yule''Alisikika mgonjwa alikuwa kwenye kitanda cha tatu kutoka alipokuwa amelazwa Anord. ''Maombi yamesaidia...
  7. Simulizi za Kasuku

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Rehema wa njia panda kitabu cha kwanza

    RIWAYA; REHEMA WA NJIA PANDA MTUNZI: Moringe John Mhagama NITAFUTE; simulizizakasuku@yahoo.com au 0717308038 (Whatsap pekee) au (0621081076 Meseji pekee) KITABU CHA KWANZA “Oyaa , madenti subirini abiria waingie!’’ ‘’We dogo nitakufumua hembu sogeza kongoro zako pembeni" hizi zilikuwa...
Back
Top Bottom