Recent content by Simpompo

  1. S

    Waraka kwa CHADEMA na Maaskofu

    kuingia darasani ni njia ya kuondoa ujinga, kwa wengine inaweza kuwa ukazawadiwa ULIPUMBA.
  2. S

    Vigezo vya kujiunga kidato cha 5 mwaka 2018/2019; Mwanafunzi mwenye umri zaidi ya miaka 20 kutodahiliwa

    ili lawezekena katika nchi ya watawala wapumbavu tu.
  3. S

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Mange kawashika pabaya, hawataki kumwachia kwa ajili ya maandamano. Baada ya tarehe 26 utasikia hawana nia ya kumpeleka mahakamani tena. hadI sasa miguu yote inawatekemeka.
  4. S

    Wakili Kambole: Abdul Nondo hayupo vituo vyote vya Polisi

    mfungwa ana haki ya kukutana na ndugu hata akiwa gerezani, iweje huyu ambaye hata jarada lake halijajulikana kwa wakili wake!
  5. S

    UWENDAWAZIMU.

    Kiongozi mmoja katika hotuba zake alipenda kuelimisha. Katika moja ya hotuba yake alisema hawezi kuuliwa na mtu! Isipokuwa anayeweza kufanya hivyo lazima awe mwendawazimu. Je anayefanya au wanaofanya haya matukio hapa nchini kwetu, ya utekaji na kuuwa watu ni wendawazimu?
  6. S

    Iringa: Jeshi la Polisi lafungua Jalada la uchunguzi kuhusu Mwanafunzi Abdul Nondo

    UKIJITEKA , BADO UNAWEZA KUOKOTWA GEITA MSTUNI HUNA FAHAMU NDANI YA MASAA 24.
  7. S

    Wassira: Nyalandu ameanza kuwapigia simu baadhi ya viongozi wa CCM

    mm! mzee wa usingizi saa hiz asubuhi!
  8. S

    Sheikh Alhad Mussa Salum(Dar) ashauri Viongozi wa dini kuacha siasa misikitini, kanisani

    ninamheshimu ni kiongozi wa dini, yeye hana mamlaka ya kuwasulutisha viongozi wengine waseme nini! kama na yeye hana hoja, aende akaongoze ibada tu. TUNAMSUBIRI SHEKH PONDA 1/1/2018. NAAMIMINI ATALIANZISHA DUDE JINGINE.
  9. S

    Maoni: Rais Magufuli ahutubie kama Rais

    Uwezo umefikia mwisho
  10. S

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Tuwe pamoja kwa mtililiko wa matukio yote.
  11. S

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Baada ya kuona amechemka, Rais John P.Magufuli amemteua Dr.Wilbrod Slaa kuwa Balozi. Baada ya uteuzi huo, hiyo ni safari ya kurudi ndani chama cha mapinduzi. Kumbukeni ni huyo Slaa aliwahi kusema nina kadi ya CCM nimelipia ada miaka Kadhaa, alikili hayo akiwa Katibu mkuu wa CHADEMA. Je...
  12. S

    Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa

    Kwa hili la maelezo aliyotoa maana yake uchunguzi umekamilika na majibu ndiyo hayo. Ni majibu mepesi sana hivyo tunaitaji vyombo vya nje kusaidia uchunguzi.
Back
Top Bottom