Recent content by Simon_mt

  1. Simon_mt

    Jipatie Kuku wa nyama wenye kilo 1.3 na kuendelea

    Wapo 500 Dar msasani karibu na ccbrt Bei 5200 0738832076 au 0173906616
  2. Simon_mt

    Nauza kuku wa nyama-broiler

    Ninaharibu biashara yangu as per your view,ila nimetoa tangazo ila mtu kaamua kuongea vibaya na wengine kunikatisha tamaa then you want me to bend over,sijakuona ukitoa comment ya watu walioanza ukorofi and what does that say about you?!usitetee mambo ya kijinga...kila mtu alienitumia text...
  3. Simon_mt

    Nauza kuku wa nyama-broiler

    Nakushukuru sana kwa kucomment.
  4. Simon_mt

    Nauza kuku wa nyama-broiler

    Na bado mtu anakuambia eti customer skills ila watu wanaaharibu tangazo alafu hata haja address hilo swala...sisi wote vijana tunatafuta hela ila watu wanakuwa wa ajabu sana badala kushauriana kupiga hatua ila mtu anaongea vitu tu vya kubomoa na moyoni unaona furaha una amani,ustaarabu hakuna na...
  5. Simon_mt

    Nauza kuku wa nyama-broiler

    Come on kaka customer skills za mtu ambaye sio mtaarabu,wawe na heshima na kwa mtu anaeona nakosea atakuwa sio mwelewa...yeye kaona kuku bei hiyo ila kasema makusudi kunikatisha tamaa akihisi kuwa mimi sijui kitu nitashusha tu bei then atanitafuta now hilo umeliona?na nimemjibu accordingly kuwa...
  6. Simon_mt

    Nauza kuku wa nyama-broiler

    Sold
Back
Top Bottom