Umeshaenda kwa wataalamu wa afya ndugu?jambo hlo co la kawaida kabsa huenda labda kunavichocheo (hormonies) vya kiume ambavyo vimekua na kumsababishia matiti hayo na huenda labda vikamuathiri zaidi. Mwone dactari atamsaidia
Tujarbu kumwelewa mtoa mada, mkuu katika multipartism iyo c sawa na ni wazo zur ambalo linafaa kuwekwa kweny new const kwan kila chama kinawajumbe na ikitokea watu hawamtak mjumbe wa chama fulan bac aman hii ya rushwa Tz itatoweka
Hapo patam mkuu,ninavyodhan ni kuwa mali nying na za thaman kubwa kama nyumba ardh nk humilik wanaume,kwa hyo mwanamke anapoomba iwe ivyo hamaanish anakutabiria kufa bal ni kinga dhidi ya mali ya familia ili ikitokea yy katangulia bac familia itabk salama na hvyohvyo mw/ume akitangulia...
Kijana hata kama wewe unasadiki yale ya wahenga kuwa mvumilivu hula mbivu lkn mim pia naamin ngojangoja utamkuta mwana si wako, kwa ufupi ni kwamba kakubali coz kajitahd kukuweka jiran kabsa, mwalike kwenye ufalme wako ATAJIELEWA TU!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.