Nina madogo zangu wawili wanataka kujiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja, 18,000 ya usajili kila mmoja, sasa hivi naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass. Hivi ni sahihi au napigwa na kitu kizito?
Kibaya zaidi hela natuma kwenye namba yake huyo mtu
Naombeni majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.