Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.
Na hitaji mwaume ( mchumba) SIFA UMRI MIAKA 28-35 MREFU, MNENE WA WASTAN, ASIWE NA KITAMBI, ELIMU...