Nadhani hapa hujaelewa. Hatuwacheleshi, si hatupo kwenye ukanda wa juu... kwaiyo kwenye ukanda wa chini tupo sisi na burundi tu.. EAC imeishatengwa tu kwa maneno haya..
Inatubidi tuwe makini. Leo nipo kwenye Kongamano la vijana la EAC hapa kampala ila hata hapa, nimefika kwenye eno na bendera yetu haipo kwenye meza.. mpaka nimeuliza na kuwaambia waiweke... Nadhani inatubidi tuwe makini na tunachojiingiza. Nafurahi kuwa matatizo kama haya ya kujitenga yameanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.