Recent content by simgas

  1. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    kesho ndio siku ya interview jamani msi sahau sehemu ni changombe maduka mawili ulizia ofice za simtank walipo ndio na sisi simgas tupo eneo hilo karibu msisahu CV zenu pia
  2. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    mhmm leseni hatu izingati sana kwani tuna madereva wetu na magari yetu kwa ajili ya kazi wako wafanyakazi wa aina tofauti kuna madereva,kuna matechnician kwa ajili ya mitambo na kutembelea site za wateja,kuna sales representative kuna sales team leader kuna boss wa upande wa sales kuna...
  3. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    hahahah na wewe unajita great thinker, Sales any body can do it awe form four awe lasaba as long as he or she has negotiating powers and can meet he or the target. kingine every company has some factors zinazo itaji kutoka kwa wafanayakzi wake usifikiri kisa wewe una degree au masters au...
  4. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    As long as we are growing and we see sales growing daily you can speak, write or Shout via word as you wish tuna kukaribisha jumamosi pia tutakuajiri tena ila kama wewe ni miongoni mwa wale tulio wa simamisha kazi kwa uwizi utatusamehe kwa kweli. Note kitu kimmoja iwe kibarua iwe ajira au...
  5. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    nkulize swali hili si jukwa la ajira na tenda sasa ukienyeji wangu uko wapi ndugu, nkusaidei kitu siku ukipewa tarifa na mtu jaribu kwanza kufatilia kwa njia zako mwenyewe je tarifa hii ni saihii au ni uwongo,ingekuwa mimi wewe ninge anza kwa ku google ili nijue uhalali wa kampuni hii au ajira...
  6. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    unakuja na CV yako tu ndugu hakuna kingine
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    Hvi jamani kama ilevideo inge kuwa fogery si viongozi wa chadema karibu wote wagesha toka na kuipinga na hata kutafuta mtalamu wa kuichunguza. Chadema ni ijuavyo mimi ukiwasingizia kitu we moyo wake mtakoma ila kwa hili ali ongea tu dk silaa kukanusha nadhani alikuwa anapractise public relation...
  8. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    karibu sana
  9. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    ndugu kwa mfumo wa kazi hapa huwez lala nyumbani pili mfanyakazi wanafurahia kazi zao kwa jinsi kazi ilivyo na itaavyo kuwa nzuri huwezi lala wala kuleta mzaa yapo mambo mengi ya kuzingatia kabla huja ingia kazini na kuondoka kazini kila siku, bidhaa zetu zina kubalika sana kwani ni bidhaa mpya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    Doricy wala usiogope sisi sio matapeli tuna ajiri kweli fika ujione mwenyewe labda ushindwe mwenyewe kupita kwenye interview
  11. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    usijidaganye ndugu kama unadhani hatu ajiri tunacho tangaza labda wewe utuambie tuna ajiri nini ushauti wa bure njoo ofisini kwetu hyo tareh tajwa hapo juu ujionee
  12. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    mimi ni Simgas Tanzania zaidi www.simgas.com We fika kama maelezo hapo juu yanavyo sema
  13. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    Uko wrong sana Simgas ina originate Holland kweli Owner Mirik nt mic walio wengi ni wa africa na kampuni yetu kabila na rangi its not an issue,our issue is to give and serve you with the best of our services.Wote tuna roho nzuri kwanzia Boss wetu hadi wafanyakazi na tuna penda wateja wetu
  14. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    Ngongo its fair for the position advertised ya sales pili commission ya 20 ni kubwa plus hela ya nauli na vocha.
  15. S

    JamiiForums Tanzania pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    SALES REPRESENTATIVE POSITION Are you a young, energetic and responsible Tanzanian looking for a chance to work in a well organized company? Simgas is looking for sales representatives to sale its biogas plant. If you believed you are among of the talented and qualified person, Please come to...
Back
Top Bottom