Recent content by silzawa

  1. silzawa

    JamiiForums Tanzania Help

    Asante #scale alikunywa ya kopo kwa muda wa siku 4 tangu azaliwe maana maziwa ya mama yake cku za awali hayakutoka lakin baada ya cku hizo anapata maziwa ya mama yake mpaka leo.
  2. silzawa

    JamiiForums Tanzania Help

    Ama kwa hakika nilijaribu njia hiyo alileta tumaini baada ya siku kadhaa ikawa bado nikashauliwa dawa ya kupunguza gesi ya maji kama sijakosea (bellazon ) amemaliza cku mbili nyuma alitumia kwa muda wa 1 week.
  3. silzawa

    JamiiForums Tanzania Help

    Wana Jf msaada ama ushauri juu ya tatizo la bint yangu ni kachanga kana umri wa mwezi mmoja na week sasa lakini tumbo la mnyima raha kabisa analia mno alafu choo kikubwa yapata cku 3 hajapata wakati si kawaida msaada please.
  4. silzawa

    JamiiForums Tanzania Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

    wazee wa ma nick name
  5. silzawa

    JamiiForums Tanzania JF members wa Dar pita hapa tutambuane

    Temeke wlcm
Back
Top Bottom