Kususa sizani kama ni njia sahii kwa chama cha siasa,kwani hakuna, kinayempotezea nafasi na, ushawishi zaidi ya, wao wenyewe mm nazani wao hao chadema, lazima wakae waone wanafanyaje reformation ambayo inaweza zaa vijana wafia chama na vijana wenye mawazo mbadala.
labda tujiulizeswali saizi vpi...
hayo ni maoni yake kitu ambacho inawezekana asielewe ni kuwa watawala wamesaidia kuiexpoze zaid chadema kimataifa na hata kwa wananchi mana siku zote ilizoeleka kuwa wanatangaza,maandamano lakini viongozi wao hawaonekani jana viongozi wameonekana na hiyo kisiasa ni pigo kubwa,sana kwa,chama...
Shida siyo kuwa ajira chache swala ni kuwa tuna zungumzia mzani kubalance nwaz wote kutambulika kama watanzania .
Kwasababu ajira za tanganyika moja ya sifa ni mtanzania lkn ajira za zanzibar sifa ni uzanzibar ? Je unahisi mzani unakuwa balance hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.