walio cheza rafu za mwaka 2005,wakamshangaza mzee wetu mkapa, ndio watakao cheza rafu hiyohiyo
tuambiane ukweli tu ,kwamba ccm walichelewa kutafuta m badala wa huyo jamaa,sasa huyu waliomleta hawezi kumfunika jamaa huyo alieanza safari muda mrefu, NA PILI WAMEKOSEA KUMTUO KULE AMBAPO HAWATUTAKI...