Recent content by Siku Hazifanani

  1. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Nikusahishe vitu vidogo tu PM wa UK (England, Scotland, Wales and Northern Ireland) ni Rishi Sunak dini yake muhindu Hao wabunge watatu waislam wa bunge la Marekani lenye viti 435 still hawajafika hata asilimia 1 Safari bado ndefu ila one day yes
  2. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Uislamu ni imani sio mila wala tamaduni. Huwaga nachukulia upo nondo haya mambo hata kwa avatar yako ila nazidi kuamini msemo dont judge a book by its cover
  3. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    hapa tunazungumzia uislamu na uarabu, mimi sio mkristo na ndio maana wala sitaji habari za wakristo hilo ndio tatizo la sisi waislamu kuna vitu vingine ni vya ukweli lakini tunapindisha. Mwenyezi Mungu ametuumba kwa utashi yaani kutambua vitu na mambo kwa ujumla, tujifunze mda mwengine kuumiza...
  4. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Uzi huu ni wa waislam kuleta hoja. sio ninyi mnaoabudu the almighty dollar, Kipaumbele kwenu Pesa, Mjadala unahusu dini wewe kipaumbele chako ni pesa na kufurahia waarabu kuja. kama ni hivyo yafaa yafaa uende jukwaa la biashara ukajifunze biashara na sio kungoja waarabu ukidhani mambo yatakuwa...
  5. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Tujikubali na asili zetu, tujivunie vyetu. Dufu ni ngoma za waarabu, kuna ulazima upi kuacha kupiga ngoma zetu sisi za asili yetu Mdundiko, Lizombe,sindimmba,mganda,mdumange,msewe, ?
  6. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Hio ndio misingi mikuu, Kuna haja ipi ya kukopi vya uarabuni na kuvi merge kwenye dini ?
  7. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    jiulize kwanza swali dogo tu, Kupiga dufu kunatimiza principle yoyote ya dini Jibu unalo
  8. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    Peponi tutaingia kwa ucha~Mungu si kwa majina, kuvaa kanzu, kuongea kiarabu,
  9. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    kujibu swali kwa swali hakuna maana ya kushiriki karika hoja, clarify mambo weka statement, criticism, ufafanuzi, n.k. sio maswali
  10. Siku Hazifanani

    Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

    uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu? Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa. Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya...
  11. Siku Hazifanani

    Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Hii tabia ya kuchekana kwa hapa kwetu ndio inarahisisha zaidi utapeli. Mtu akitapeliwa anaona soo kuwaambia wengine anaogopa atadharaulika na kuchekwa, ajabu ni kwamba hata hao wataomcheka washapigwa na vitu vizito walipotezea kimya kimya. Kuna mtu huu uzi kakomenti kwa kebehi ila nimefatilia...
  12. Siku Hazifanani

    Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Utapeli hauna formula, nikujuze tu ya kwamba hata mawaziri, maprofesa, wafanya biashara wakubwa, wasanii, wanatapeliwa. factors za kutapeliwa ni nyingi sana,
  13. Siku Hazifanani

    Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Hii tabia ya wabongo kama wewe kucheka wengine waliopatwa na majanga haya wakati hata wao yaliwahi kuwakuta ikome. Wewe ulitapeliwa na mganga dawa za biashara kuna mtu alikukebehi ? Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia ukaweka uzi mwengine kulalamika unapewa kipigo...
  14. Siku Hazifanani

    Nilivyowahi kutapeliwa na aliyejitambulisha ni polisi nikiwa jiji la Arusha

    Dah! ila kweli, hawa jamaa huwaga hawana muda maalum, huenda walipomalizana na mimi wakatapeli mwengine mchana
Back
Top Bottom