Mkuu niaje, nilikuwa nasoma soma hapa nkaona thread yako apa, naomba unibeep kwenye namba yangu ili tuwasiliane kuhusu wapi pakuzipata hizi gari aina ya DCM kwa Dar es salaam. Namba yangu ni 0753122225. Ahsante.
Everlenk habari yako, nimependa haya maelezo na mimi nataka kuingia kwenye hii biashara, tafadhali naomba unibeep kwenye namba yangu ambayo ni 0753122225 ili tuongee kwa kirefu zaidi. Ubarikiwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.