Recent content by sikibinda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ndalichako kutemwa Baraza la Mitihani ili kumwokoa Shukuru Kawambwa

    Tuache kumtafuta mchawi hili kila mmoja wetu ni mtuhumiwa tutafakri kwa kina wazazi,waalimu,serikali nini tufanye ili tutoke hapa?hao waalimu tunaowapongeza kwani hawana watoto?cha msingi ni kuangalia upya mfumo kamili wa elimu,malezi ya watoto na mfumo mzima wa maisha yetu kama vinaendana pamoja?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    Nionavyo mimi issue si nani achinje bali nani ni nani Tanzania?kwakweli alieleta chokochoko hizi kwa sasa ipo siku tutamjua tu time will tell!nachowaomba tupunguze jazba mlango huu mnaolazimishwa kuufungua na mchochezi huyu wimbi lake ni baya hatutolieza sote tutaangamia hata hao wanyama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Is this criminalisation of islam in Tanzania or humiliation of Christianity?we are brothers

    Masikini!nawaoneeni huruma wote inaonekana akili zetu zimefunikwa au zimelewa na hivyo fikra zimechoshwa na hali iliyopo,ili tuweze kurudi katika hali halisi tuache jazba na ushabiki na tuweke vigezo vya utafiti wa kisayansi ili tupate objective answers.kilichopo na tunachojadili is that...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Retreat ya kesho Moshi hizi ndio dondoo za kitakacho jadiliwa

    let us wait and see the reality.it is incridibly bad weather!
Back
Top Bottom