Recent content by sijison

  1. S

    Hawa ndio wasaidizi wa rais jakaya ?

    inasikitishasana jinsi ambavyo wasaidizi wa raisi kwamaamuzi yanayo kinzana juu ya maamuzi yakutoza kodi lineza simu baraza la mawazi linapo kaa waziri mkuu ndie mwenye kiti iweje leo makamba ajifanye ana ungana na walala hoi kupinga tozo hiyo wakati wakikao cha bunge wote mlikuwepo mnasinzia...
  2. S

    Diwani wa CCM - Nduli Iringa aliyemtishia maisha Mh. Msigwa afariki dunia ghafla

    hakuna aliewahi kukaa ikulu miakayote kwakumwga damu kama anavyo fanya mwigulu na mafisadi wenzake waCCM kumbukeni yalio mkuta gadafi mlie mwita comando wa zanzibar leo nikipofu jeuri yote kwisha mnafikili MUNGU NI CCM ?
  3. S

    CCM wangelihitaji jimbo la Iringa Mjini wangempa wadhifa Mwakalebela

    Ccm kulikomboa jimbo la iringa ni ndoto za mchana kulingana na mambo maovu yanayofanywa naserikali hasa mauwaji yaraia wasiona hatia kama daud mwangosi kule arusha ccm wameuwa watu kanisani katika viwanja vya mikutano wanawatuma polisi wauwe watu ili eti watu waichukie chadema wakati ndiyo...
  4. S

    Hii ndio kauli ya Mwigulu iliyowafanya wana Arusha kumkubali...

    Iwapo hata MAKETE hawaitaki CCM je? 2015 watapigiwa kura nanani ? wataishia kutimuanakama walivyo timuana mwezi huu haya mwigulu soma alamaza nyakatil
  5. S

    kauli ya waziri mkuu bungeni tuitafakari tarehe 20 june 2013

    ndugu wa tanzania kwa kauli alio itoa mh.waziri mkuu ya kuwapa kichwa zaidi polis kupiga raia nikauli ambazo zinaonesha kwamba sasa taifa linakwenda pabaya kwasababu kuruhusu polisi kupiga watu nidhahili watu wengi watapoteza maisha bila sababu kama ilivyo tokea hapo ARUSHA unga limitedi...
  6. S

    Je ccm ni bora kuliko chadema 2013...?

    ndio... lakin sidhan...?
  7. S

    Je ccm ni bora kuliko chadema 2013...?

    naombeni views zenu wadau wa jf kwan hali ya siasa siielewi mara huyu katupa boom wengi ccm mara chadema....
  8. S

    Je ccm ni bora kuliko chadema?

    kulingana na nahali ilivyo katika nchi yetu uonevu ulivyo zagaa kila kona yanchi jewatanzania tufanye nini kukomesha uonevu huu makanisa yaliyo chomwa moto yamefikia 61 padre mmoja ameuwawa padre mwingine akajeruhiwa kwa resasi mchungaji akachinjwa hadharani wana nchi wasio nahatia kuuwawa...
Back
Top Bottom