Recent content by sifueli

  1. S

    Nauza kuku broiler

    asante mkuu
  2. S

    Nauza kuku broiler

    sawa mkuu ila mie nipo DAR ,ntafanya hivyo next time.kama kuna dalali au mnunuzi wa jumla niconnect nae.
  3. S

    Msaada; Soko la kuku Dar es salaam

    mkuu njoo huku unisaidie
  4. S

    Msaada; Soko la kuku Dar es salaam

    mie na wangu hapa ni dar nawauza kwa 5500 jumla wapo 200.kama kuna mtu anaweza kuja tufanye biashara.
  5. S

    Nauza kuku broiler

    hii ni bei ya jumla mkuu nataka kusafisha banda niweke wengine.kama kuna mtu unamjua aje achukue.Kuku wangu ni wakubwa na bei pia nzuri.
  6. S

    Nauza kuku broiler

    Habari wana JF natumaini wote ni wazima, Nauza kuku aina ya Broiler na wapo tayari kabisaa kwa sh 5500 jumla wapo 200. Nipo makongo juu karibu na CCM. 0788838821 Karibuni sana.
Back
Top Bottom