Recent content by Sielewi

  1. S

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    huku kwetu sioni sera zaidi ya porojo na uzandiki,nakufanya chama cha watoto wa viongozi wa juu wa ccm,nampa Lowasa
  2. S

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hawa ndio wanaccm mamluki,ina maana hukuona hata hicho kituo cha BRT kule nyuma,mtuache na ccm yetu
  3. S

    ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    zito hata akirudi ccm atatuvuruga tuu,huyu jamaa yuko kimaslahi zaidi,akipata mtu akampa pesa hata hiyo ACt ataivuruga pia
  4. S

    Lowassa Afunika Iringa

    niko iringa mwaka wa pili sasa Msigwa yuko vizuri ccm na mwakalebela wetu hatuwezi kupenya
  5. S

    Hivi nyie mnaojiita UKAWA mnajua maana ya Nguvu ya DOLA!?

    wanaccm wenzangu tusipende kuleta chuki ndani ya jamii ya watanzania pls,tuhubiri amani na upendo,hili swala la uchochezi tunalofanya litatumaliza wenyewe october,tujaribu kuwaomba wananchi watupe nafasi nyingine,sio kwamba Ukawa wakishinda nchi itakuwa kama libya hapana,hili ni kosa kubwa sana...
  6. S

    Hivi nyie mnaojiita UKAWA mnajua maana ya Nguvu ya DOLA!?

    wanaccm wenzangu tusipende kuleta chuki ndani ya jamii ya watanzania pls,tuhubiri amani na upendo,hili swala la uchochezi tunalofanya litatumaliza wenyewe october,tujaribu kuwaomba wananchi watupe nafasi nyingine,sio kwamba Ukawa wakishinda nchi itakuwa kama libya hapana,hili ni kosa kubwa sana...
  7. S

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Hawa polisi wanatuharibia sana chama chetu CCM sijui wanatumwa na ukawa?
  8. S

    Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    sisi ccm chama kubwa hata waondoke hao tunasonga mbele,sisi ndio kiboko yao
  9. S

    Peter Msigwa apiga mil. 200 za Lowassa, Iringa Mjini mpo?

    tatizo letu sisi wana ccm tumezoea uwongo sana,watu tuandika habari zenye tija,tupambane na wenzetu kwa mbinu sio siasa za majitaka,mnashushia hadhi chama chetu ccm wakongwe bhana tujenga hoja wakuu
  10. S

    Mabasi ya majini mbioni Tanzania

    Ya kwenye maji sio kweli labda baada ya miaka 30 lakini kama ni majini mbona yapo siku nyingi?
  11. S

    Magufuli Kachanganyikiwa

    nauliza wanaccm wenzangu siasa za kugawa tishti na kofia tumeacha?wenzetu zakwao wanauza...........,staili ya kugawa pesa,matusi,na kuwabeba kwa magari haitatusaidia tena,tuwe na sera za kuleta maendeleo bila hivyo mwaka huu sijui?????
  12. S

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    strategy za Ukawa zinatisha,suluhisho ss wana ccm ni kujipanga kivyetu jinsi ya kuwafikia wananchi kwa ukaribu zaidi,wenzetu hawana cha kupoteza,tuachane na zile siasa za mipasho ndugu zangu wananchi wamechoka kabisaa,napatashida sana kuongea nao watupigie kura tena
  13. S

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    sasa kama habari yake ndio inauzika kuliko yakwetu ccm unataka watu wa media wafanyeje wakati wanafanya biashara?
  14. S

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    kha kha kha,hawa ukawa wamejipanga?jamani ccm wenzangu siasa za majukwaani hazina mashiko,tujipange kivyetu hatujachelewa,kuwa na gharika uwanjani sio ishu,hawa jamaa wako strategic sana,tusiwachukulie poa
  15. S

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    jamani afya ya edo,pombe,mrema haituhusu,ishu ni nani mwenye sera za kutuletea maendeleo?sababu kazi yenyewe ni yakutumia akili,kingine tunaojadili afya za hao watu mwisho wetu wa kutibiwa ni muhimbili ambako hakuna dawa,tunaugua na kufa ovyo sababu lishe ni mbovu,uchumi umekuwa mbaya maisha...
Back
Top Bottom