doh... amakweli... :A S thumbs_down: waarabu hawaolewi na waswahili????? Wabaguzi wengi tu kaka hata hawa wazungu tunaowapapatikia aisee.. ishu ni familia kujuana ... wenyewe kukubalia hilo suala. Mifano ya ndoa mchanganyiko hususan waarabu ni common saaanaaaa yani usiseme.. karibu tanga...
Ni story ambayo nabishana na bestfriend wangu mpaka kesho.. I believe mwanaume huyo ni mtu mzuri na wanaendana sana. Ila mapenzi nyuma, akili mbele. Ni kawaida sana kwa wanawake wa kiswahili kuolewa na wanaume kutoka nchi mabali mbali duniani haswa wazungu na waarabu.
Sasa ishu inakuja huyo...
Unajua nini kaka? hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume coz lazima mtu kati yao atapata hisia flani mwanzoni au baadae wakati wa upweke... Mueleze huyo dada.. na i think hata mkeo akiongea nae it will be better kama mkeo hana wivu sana. Wanawake kuacha kumpenda mvulana ni decision yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.