Sifa za kiongozi ninayemtaka
1.asiwe mbabaishaji
2.awe mwadilifu
3.awe mwenye maamuzi magumu ya busara
4.asiwe mwepesi wa hasira
5.awe mwenye maono ya mbali kwa maslahi ya watanzania wote
6.awe mtu anayejali wanyonge
7.awe mcha mungu
8.awe mzalendo wa kweli
9.asiwe na uchu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.