Recent content by Sibo

  1. S

    GE2010 Kikwete kufanya mdahalo Ijumaa, aweza kutangaza hali ya hatari Jumapili?

    Tumuombe Mungu awajaze Watanzania hekima na busara,kumchagua kiongozi wanaompenda,na kila atakayejaribu kuiba kura,natamani azimike ghafla, maana kila chama kinahubiri uwazi na ukweli, je, hawa jamaa wengine akina.....hawatachakachua kura,Upinzani hakikisha wasimamizi wa kura zenu mnawajenga...
  2. S

    GE2010 Mdahalo wa Dr Slaa Movenpick LIVE

    Hakika kwa Watanzania waliomsikiliza Dr Slaa leo, nina imani watafanya maamuzi sahihi ya kumchagua. Nimejionea mwenyewe Dr Slaa akiongea live na Watanzania.Jamani huyu ndiye raisi wa ukweli. Anaongea mpaka unavuta hisia,amejibu maswali yote kwa ufasaha zaidi bila kubabaika,unangoja nini ndugu...
  3. S

    Hi, am a new member!

    Wakuu,hapa ndo mara ya kwanza kuingia na kuandika ndani ya jamii forum.Nimekuwa nafuatilia sana mada zinazotolewa na wanajamii forum. Hakika kuna hekima na busara nyingi. Naomba kukaribishwa ili nami niweze kutoa mawazo yangu bila hiana. Nawaahidi tutakuwa pamoja daima. Ahsante sana!
Back
Top Bottom