[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] umesoma wapi jamani. Inasikitisha dah.
Huwa nashaangaa sana kwanini mashirika ya kimataifa wanakuja na NGO's zao za uzazi wa mpango, ngono zembe, ukimwi, kuelimisha kumbe kuna watu bado hawajui maswala kama haya ya matumizi ya condom mmmmh...
Sijapinga una uwezo wa kuwa mkulima bila kukaa darasani ila mind you elimu ni elimu bwana. Wakulima wenyewe kutwa wanatafuta mbinu mpya za kuendeleza kilimo chao, tusitoke njia ya mada swala ni watoa elimu waibadilishe mitaala au mbinu za ufundishaji tuokoe taifa lijalo.
Umechangia kwa busara sema umesahau kuwa mpaka mtu yupo chuoni au kamaliza uchumi hauusiani. Mtu aliyepo chuo anaweza kuwa na changamoto za hapa na pale ila anamanage kulipa ada vile vile kwa walio maliza. Usilalamike uchumi, watu wana mikopo, wafadhili na wengine wanamejiajiri so wanajilipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.