Kweli uchambuzi kuhusu huyo kijana unaonyesha ni hatari na hafai ktk jamii yetu. Na dhambi zake tumezijua baada ya kumsaliti bosi wake, ambaye ni lowasa, nikinukuu maelezo ya wachangiaji. Jambazi mkuu yupo ukawa laiti pasingetokea usaliti, Jambazi mtoto na Jambazi mkuu ndani ya ukawa wote...