Uvaaji ni swala pana saana na ni mtambuka. Kwa hiyo kila mahali , wakati kuna mivao yake kuanzia mavazi hadi viatu. Na sisi tunatengeneza viatu aina zote. Huwa tunawauzia wateja, na matumizi yake hupanga wao. Kwa hiyo, hata wewe kama unahitaji aina yoyote ya kiatu, tuwasiliane tafadhari...