Mtoa mada rudi shule uongee na mwalimu muyamalize, acha kulalamika bila kutoa suluhisho, kumbuka huyo mwalimu ndio unaemtegemea aendelee kumfundisha mwanao. Wakati mwingine jaribu kushauri na sio kuwa na msuguano na mwalimu wa mwanao.
Unadhani huyo mwanao atafundishwaje kama mzazi umekuwa ni...
Uko sahihi mkuu, mimi nilizalisha kipindi hicho cha ajabu hao wazazi wenzangu wananitafuta kila siku. Sasa sijui wanaishije na wanaume zao vip. Yaani wameolewa lakini bado wanataka mawasiliano
Elimu ni gharama, changia mwanao apate lishe akiwa shule. Njaa ni janga kwa mwanafunzi, kukaa darasani bila kupata chochote ni kudhoofisha na kumdumaza mwanao.
We nenda kwa lengo la watoto wako tu, huyo mwanamke hata ukielezea vipi kwao ushachafuliwa kiasi kwamba hautaeleweka. Wewe jishushe lengo likiwa ni watoto wako.
Kama anakupenda angeenda kwenu, nashangaa ameenda kwao, wewe ndio unatakiwa kumshitaki kwao na sio yeye kutangulia kukushitaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.