Kimasihara masihara tu hii stori itafikisha miaka mi5 hiv hiv, yaan si tupo tu tunasubiri muendelezo et!
Yaan mke, mahawara wanapewa mimba… si tunasoma tu 👀
Watoto wanazaliwa ndani ya ndoa na wazinaa… si tunasoma tu 👀
Nitoshe kusema kuwa hii ni ISIDINGO au DUNIA mzee.
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze.
Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
Hamjambo 👋🏽 👋🏽
Mimi ni mwanamume.
Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya.
Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI?
Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.