Recent content by Shujoboy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawanuki mdomo kama panya

    Hiyo, Ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine tumieni mouthwash(Hydrogenperoxide3%) unapigia mswaki kimfuniko kimoja asubuh na jion. Matokeo yanaonekana siku yakwanza tu, Asante
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufanikisha biashara ya Mayai

    Habari zenu wakuu, Nipo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma nahitaji kufanya biashara ya kuuza mayai jumla na rejareja Kuhusu masoko yapo ila changamoto ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya chini kidogo walau nipate chochote kitu. Msaada mkuu nikunisaidia unijuze bei ya hapo hususa ni mikoa jirani...
Back
Top Bottom