Recent content by Shuck

  1. Shuck

    JamiiForums Tanzania Neno 'Radhi' linanichanganya nisaidieni wajuzi

    Nadhani hakuna neno Razi katika Kiswahili, bado ni radhi. Mfano kukosa radhi ya wazazi maana yake ni kukosa baraka au msamaha wa wazazi. Kuna neno razini ikimaanisha enye akili timamu lakini hakuna neno razi wala lazi
Back
Top Bottom