Changamotto
Senior Member
- Jan 12, 2018
- 191
- 100
Utasikia naomba radhi, Mara amekosa radhi ya wazazi wake, Mara nitake radhi, mara nitakuachia radhi.
Nilichokuwa najua mimi radhi ni msamaha lakini hizo sentensi kadhaa hapo juu zimeshanivuruga.
Msaada wenu.
Nilichokuwa najua mimi radhi ni msamaha lakini hizo sentensi kadhaa hapo juu zimeshanivuruga.
Msaada wenu.