Recent content by shoomyabrah

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa ghorofa za apartment

    Hao wanaudalali ndani yake unalipa agent fee alaf wanakwambia wakujenge wakat tayari washakua na interest zao kweny mladi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa ghorofa za apartment

    Habari za humu wakuu, Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
  3. S

    JamiiForums Tanzania LATRA, Tumekamilisha Kupanga Nauli za SGR ya Dar-Moro-Dodoma. Kinachosubiliwa ni Uzinduzi wa Safari za SGR

    Na ndio itakapokufia apo sgr Tatizo watalamu wanawaza faida ya haraka hawajui kua usafirishaji ni nyanza ambayo inasaidia kwenye ukuaji wa miji na sio faida kutoka kwa abiria
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kota Magomeni

    Asante mkuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kota Magomeni

    Kuna mtu anajua jinsi ya kuomba makazi nyumba za kota Magomeni.
Back
Top Bottom