Recent content by shono

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali wanawatumia Yanga kuzima upepo wa Vijana wa No reforms

    Moto wa No reform umewaka yanga wamehelewa
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni sheria gani imetumika kuzuia Viongozi wa CHADEMA kusafiri nje ya nchi?

    Hata kama hakuna kiongozi kuna SHERIA ya kumzuia mtu kwenda anapopataka?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wana interest kubwa na Unfair election , Mkurugenzi TANESCO na Mpango wa Kugombea Jimbo la Bunda ulivyosemwa

    Kwel unaota, mkurugenz kwa pesa gani amzidi bunged?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenyekiti mpya BAVICHA, Wakili Deogratius Mahinyila ni nani?

    Ukishajua ikusaidie nn, mwache kijana apige kazi kashapata fursa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

    Unajua wakati mwingine sisi ni wapuuzi, tunapenda vitu vidogo vidogo sana issue kubwa hatuna mpango nazo, wiki nzima mkuu wa mkoa kosa hata halipo.. waacheni wateule wa rais wafanye kazi. Hapo chini mh. Mk alikuwa kwenye bench wakati mechi ikiendelea hatukusikia kelele za watu.. mwache...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kenya wamezoa Medali 4 za Dhahabu Olympic na Sisi Tanzania bado tunajitafuta!

    Tunapeleka michezo mitatu tutatoboa, pia tunaenda Kwa kujuana,,, mfano Ramadan Brothers wako wapi? Umiseta na umitashimta tumekosa warukaji?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, ni bora wakae kimya

    Kwani uraia pacha ni tatizo?, we unafaidika Nini na chama chako Mpaka sasa toka kiundwe?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, ni bora wakae kimya

    Kwahiyo upinzani wafanyaje?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    Hawalalamiki yaani watanzania mtu akiongea haki eti analalamika. Sasa unataka afanye Nini aonekane halalamiki?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    F Fikiria ndalichako kama waziri wa Elimu 2015 alipandisha gafla vigezo vya kuingia chuo kikuu Kwa Nchi masikini tuliozidiwa na Kenya Kwa Elimu Kwa mbali tu, je watu wa 2014 kushuka wanapataje vigezo vya TCU alihali vimebadilika, nilitegemea waje na aina Mbili ya udahiri 1. Waliomaliza 2014...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    Ndugu yangu hao mawaziri matajiri watafikilia masikini kweli? Fikiria ajira ya 2014 na 15 wanadaraja Moja wakati 2025 walitakiwa kuwa na daraja la3 sasa hv wanatafuta la 2 usawa haupo kabisa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    N Ni kweli atakayepinga labda kichwani Kuna gorori walimu wanateseka sana
Back
Top Bottom