Recent content by shona

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Dar, mvua kali ikiambatana na radi yanyesha, umeme wakatwa

    Jamani kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa mvua hii ya leo imevunja rekodi kwa kuwa mvua kubwa tangu mwaka 1954. Na ilitarajiwa kuwa na mvua juu ya kiwango. Na mvua hizi zitadumu kwa siku tatu. so tunayo mpaka kesho, tuchukue tahadhari.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

    VIATU skuna kokoko mokasi chachacha mwisho saa sita safari buti kata mbuga loso lambada bata D.H (raba) nike shuka tubonge chipsi bora (raba) njumu MAVAZI pekosi justi bikozi pensi nyanya maksi kimini tupaki (kilemba) odemba (namna ya ufungaji kilemba) kaunda suti...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya zamani jamani yanikumbusha mbali!

    dole, bunju (mbumbumbu) mbumbumbu mzungu wa reli zungu la unga kitu na boksi, kula huli utaishia kunawa utakula kwa macho denda panki(mtindo wa kunyoa nywele) twende kilioni, kilimanjaro, mdomo wa kuku, jicho la uke wenza (mitindo ya kusuka nywele) besti (rafiki wa karibu), boi...
Back
Top Bottom