Recent content by Shombe la kiarabu

  1. Shombe la kiarabu

    Maombi mapya TRA

    Bado sana
  2. Shombe la kiarabu

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kitu ulichokua hujui, jaribu kuuliza au kutafakari kwa kina kabla hujaongea au kuandika kitu. Tumia akili kabla hujatumia matako
  3. Shombe la kiarabu

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Asslam Alaykum. Wilaya ya Mjini imejiwekea Utaratibu wake wa kufanya Uhakiki kwa Wale wote ambao watafanya usaili Tarehe 19/7/2022. Utaratibu ni kama ufuatao: Siku ya Jumatatu ya Tarehe 18/7/2022 Waliomba Ajira ya Muda ya Sensa na Makazi wanatakiwa kuwaona Masheha wao kwa Ili akuhakiki katika...
  4. Shombe la kiarabu

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kwani haya majina yanayotoka tayari yameshapunguzwa?
  5. Shombe la kiarabu

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    La takhaafu ya akhy, kama riski yako ipo basi utaikuta imekaa yakusubiri
  6. Shombe la kiarabu

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kwahiyo ile hela tunayoambiwa ya chakula na nauli itakua hakuna! Hadhii flus almuhimu wa kila nnas. Habibi
  7. Shombe la kiarabu

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hivi pesa ya sensa itakua inalipwa kila siku au vipi
  8. Shombe la kiarabu

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Si kweli ushahidi anao,anaweza kuidownload kutoka kwenye account yake na aliacha copy kwa mwenyekiti
Back
Top Bottom