Recent content by Shololomo

  1. S

    JamiiForums Tanzania StarTV yakatisha matangazo ya BBC Swahili baada ya mtangazaji kusoma kichwa cha habari

    Angalia K24 ya Kenya kila saa nne usiku wana kipindi hicho pia.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bunge live, Kuna Mic imesikika inasema “kuna wanawake zako wanapiga” 😀

    Kweli bado mna muda wa kufuatilia hayo?
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Katika Tanzania kila kitu ni vololovololo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

    MATAKWA YA YANGA YAMETIMIZWA? Kama ni ndiyo basi dabi ichezwe.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Karibu yote tumeshayasikia kilichobaki sasa pande zote kaeni kimya tusubiri hiyo tarehe 15.Baada ya hapo tuanze kusikia mengine na maisha yataendelea.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Simon Patrick: Waamuzi wa Ligi Kuu Bara wanachezesha mechi kwa maelekezo

    Alichoongea ni kama kina mashiko tatizo ni kwa nini hakulisemea tangu lilipopigiwa kelele hapo mwanzo au alikuwa hajaona madhara yake?
  7. S

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Bado, ila uwezekano ni mkubwa maana wangu limetanda.
  8. S

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Ila hii mvua ya leo inaweza kuufanya mchezo usiwe mzuri. Tuanze kujijenga kisaikolojia.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

    Kweli mpangaji si muungwana,muda wake umeisha hama hutaki kuhama unataka nini matokeo yake ndo hayo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hesabu Za LUKU Zinapigwaje

    Lakini ukijumlisha COST+VAT+EWURA +REA= 5000 si ina maana elfu tano yako iko accounted for?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Inawezekana vipi mashabiki wa kigeni kuwa wengi kuliko wenyeji?

    Wapo watz wengi walishangilia saana wakishirikiana na wacongo wachache.Huo ndio ukweli.Labda tutafute ni kwa nini.
  12. S

    JamiiForums Tanzania FT: DR Congo 1 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 | Marty's Stadium | 10 Oktoba, 2024

    Mpira wote wako sawa hakuna anayemzidi mwenzake
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hili suala la malezi ya hivi limekaaje?

    Subiri tuuu ukikua utaelewa maana yake
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa kuhusu benki ya ABSA kutoa riba kila mwezi kutokana na salio lako na mikopo ya masharti mepesi

    Unategemea ABSA wawe na branch Katavi au wilayani?
Back
Top Bottom