Recent content by SHOKOLA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    haya ndio mawazo yako, lakini kwa ulichoandika ni uhakika umemtusi mpaka baba yako mzazi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama tajiri namba moja duniani anapenda siasa, we kapuku unasema siasa huitaki eti ni uhuni. Una akili kweli?

    sio kila anachopenda tajiri basi kila mtu apende, akipenda kuwa shoga na wewe utapenda?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete waliwahi kuvaa Magwanda ya JWTZ walipokuwa Marais?

    ni wewe tu ndio hujaelewa lugha ndio maana unalalamika peke yako
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete waliwahi kuvaa Magwanda ya JWTZ walipokuwa Marais?

    kila zama na kitabu chake
  5. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

    ANAHUSIKA NA MIPANGO SIO IPANGO UNAMUONEA.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

    Paskali aacha ngojera wamarekani walikuwa wanachagua rais wa nchi jkwa faida ya nchi yaona sio kumuonea huruma mtu kwa sababu ya rangi au jinsia yake.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Steve Nyerere anaongoza Protocol ya Ikulu?

    huezi kujua huenda wana ikulu yao nyingine ya kuzimu haya makanisa ya kiroho yanamengi
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sijawahi kumsikia Mbunge Orani Manase Njenza, wa akiuliza swali hata kuchangia hoja Bungeni

    Angalia maendeleo aliyofanya jimboni kama yapo, maswali au hoja vinakusaidia nini?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Tulia anabebwa kila mahali, Kuwa Deputy AG alibebwa, Kuwa Mbunge Viti Maalum alibebwa, Kuwa Naibu Spika alibebwa, Mbunge Mbeya Kabebwa!

    wivu tu ,kwani yeye hajawahi kubebwa popote katika maisha yake?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari tumemchoka Hussein Mwinyi

    subirini uchaguzi mkuu mumuondoe ni vizuri kuheshimu taratibu tulizojiwekea.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Kesi ngumu ya kutumbuliwa DP Gachagua nchini Kenya imesikilizwa kwa Siku 30, Kesi nyepesi ya Ubunge wa Mdee na wenzake imesikilizwa kwa miaka 5

    siasa ni maisha hata mtoa mada aliwaza kisiasa, kwa sababu sio kila anachofanya jirani ni kizuri na sisi tufanye, maana kesi inaonyesha wazi inashinikizo kutoka juu ndio maana imekwisha haraka kwahiyo na sisi tufanye hivyo? fikiri.
Back
Top Bottom