Recent content by SHOGOO

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa akabidhiwa rasmi chama, kwafukuta

    Hivi Slogan ya Chadema ni ile ile ya Maabadilikoooo, ...................... au wana nyingine tenaaa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa akabidhiwa rasmi chama, kwafukuta

    Mtamkumbuka sana Doctor,na aliwauliza Lowasa ni ASSET au LIABILTY, Mkamumunya maneno, sasa mmebaki njia panda, MBELE MBALI NYUMA MBALI
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa akabidhiwa rasmi chama, kwafukuta

    Nani atakaye fanya mabadilko? kama tulishindwa mwezi wa kumi, na muunganiko wa vyama vyetu?kilichobakia hapa CHADEMA waanze upyaa kabisa, walishakosea , yasibaki malumbano.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA chukueni hatua mapema

    Chadema pale hakuna kitu, tena sasa hivi wala hawana sera, hakuna watakalo ongea tuwaamini, hovyooo.....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari, inakupa ujumbe gani?

    KWA MTAZAMO TU WA HIYO PICHA, MBOWE HAJAMALIZIWA PESA YAKE YA KUUZA CHAMA,,,
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yamtumbua Magufuli, Prof. Shivji na Bana

    HAKUNA SERA YA CHADEMA HAPO ,MMEISHIWA NINI?
Back
Top Bottom