Ndugu MAKAMANDA wa chadema na wa Tanzania wapenda mabadiliko ktk taifa hili,naomba muige mfano kutoka inchi maskini ya Zambia lakini yenye utajiri wa siasa safi.
Ikumbukwe kuwa toka Rais wa kwanza wa Zambia Dr,Keneth Kaunda kuondoka madarakani na chama chake kumfia mkononi,Kilikuja chama cha...