Habari ndugu zangu nina changamoto za usajili hapa wa majina mimi naitwa Erick Samwel Chule... Lakini kitambulisho changu cha nida kinasoma Elick Samweli Bulugu sasa kwenye vyeti natumia majina yangu halisi lakini hapa kwenye nida ndo nilichanganya mambo maana ukiangalia ni makosa mawili kabisa...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.