Recent content by shinyela

  1. S

    Think about this..

    Kadri siku zinavosonga, Waafrika tunazidi kupoteza utamaduni wetu na historia pia. Nadhani ingekua ni jambo la hekima kuutunza utamaduni na historia yetu kwa ajili ya vizazi vijavyo. Wenzetu watu wa Magharibi, wanatunza na kuzikumbuka tamaduni zao kupitia makumbusho na majumba ya sanaa...
  2. S

    HESLB forms

    ebwana kwa freshers (form six livers) wanajaza slf2 au slf3? alafu mbona fupi ivo izo fomu au ndo zilivo? manake nakumbuka za kwanza zilikua ndefu mpaka kero.
Back
Top Bottom