Ndugu kwani walitoa taarifa kuhusu mtandao au kuhusu mabadiliko ya token toka 20 kwenda 60?
Je, unajua hilo tangazo lilihusu mikoa gani na mleta mada yuko mkoa gani?
fanya utafiti then urudi umjibu vema zaidi
kweli tupu.
tanzania mojawapo.
mwalimu hakumpa madaraka yoyote mwanae
mkapa hakumpa wanawe madaraka.
magu vivyo hivyo ingawa yeye aliweka ukabila mbele.
waislam
karume na mwanae
mwinyi na mwanae
kikwele na rizi
mama na abdul
ninyi ni mandondocha wa sheria.
nani alifanya assessment ya uharibifu wa gari.
bima hulipiwa gari kila mwaka je gari lilikua na bima ilokuwa hai wakati wa assesment(kama imefanyika)
pia je ni bima ya aina gani linapotokea tatizo bima hulipa?
nani aliwaambia kua gari la lisu lilikua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.